I used them once kitambo ikawa let down. The data was down 50% of the time. I am in Thika. Iliibidi nihamie kwa mbugua 25gb at 1k pm. Lakini ameanza za ovyo. Najipatanga nimefuata bibi ya kwanza safcon. Wako reliable and loyal ubaya ini kukula bando nikama waliambiwa net inaisha kesho. Bure kabisa.