Not to downplay your suffering msito @Meria, lakini hii gava inaumiza karibu kila sector, which in turn hammers everyone else.
Hapo kwanza umezusha about bumps imenitouch sana; unaendesha kwa highway alafu unapata ghafla wameweka bump mahali alafu bump yenyewe ni kama rampart.. Na hapo kuna...