Hio disputed hua ni moja ya zile MVP, most valuable properties za hio family.
Kuna mtu hapa anajua story ya lands za hao.
Ati Jeff ata akipoteza kilakitu arudi home kwa mum na pati pati, itachukua weeks kutokelezea tena na millions from sale of this or that from the vast inheritance.