Wakati mwingine wasee hurudisha tu bag bila kujua kuna chapaa ndani.
Alafu inabaki ni kitu wata regret the rest of their lives + ridicule from society........"yule mjinga alipata millions, akarudisha"
Wakati mwingine ni opportunity ya kuponyoka na hio chapaa hukosa mtu anarudisha akijifanya...