Hahaha! Mimi pia hiyo area nimekaa sana. Hapo nyuma ya Container pub. From 07 to 16. Hekaya ni mob sana. One thing I liked about that place ni security. Hata kama ni saa tisa usiku unaingia home safe
Hahaha! Ulipelekwa city blue hotel?. I was there promises kibao, mpaka a holiday trip for 2(mimi na wife). Tulikula hiyo lunch na kuondokea. Told wife asiwahi shika simu zao
Wacha kuogopa nyoka. Snakes are very beautiful creatures. Just don't threaten them. Usipige nduru mbele ya black mamba. Huyo atakupeleka jongomeo coz of your ndurus. Ukikutana nayo just move away slowly, na uiangalie