Shida ingine ni mwafrika akipata pesa anapeleka watoto shule wakajifunze sijui udaktari au uwakili au taaluma zingine zenye anafikiria zitaleta pesa, instead of kumweka kwa biashara ya familia, waindi wakimaliza basic education hakuna kuajiriwa ni back to family business, that's why hakuna watu...