Kuna jamaa with an Agrovet huko kijijini mimi huchukua agrochems and animal feeds from him. I call him Jatelo. Leo kwa Whatsapp status ndio nashangaa alikua msanii na akina Wyre, Jua Cali, Juliani. Ameweka tbt. Complete transition from artist to agronomist. Mwanaume ni kuadapt.
Ona clawmatsu...