Mfalme construction wanakaa ku escavate murram yooooote, wawache mashimo deep kuliko ignorance ya jojina makena kwa shamba yako, yenye watu wazima wakianguka hawawezi patikana tena, halafu wakose kukulipa.
Hiyo jina inasound suspect.
Wewe @Nameless ni architect. Badala uchore na usupervise nyumba kalikali kama hizi, kazi ni kuimba about kupewa kamuti, sijui juju...mara majitu...mara sijui mwanamuke ana ku inspaya....ni nini mbaya na wewe?