Pale village the most punishing crime ilikuwanga wizi. Ungepata kamzee kanaishi solo with little interactions with the other villagers alafu ukiulizia unaskia ati kaliiba kitu fulani. Funny thing is, hiyo wizi ilifanyika kitambo kakiwa bado kijana lakini that stigma inakafuata hadi old age. In...