Kuna wengine' walikua wanachezana ,kila mtu akalia ndoa iishe only kupata walichinjia couple beshte ....inshort walibadilishana bibi ,osband na wife ya beshte,wife ya beshte na ozband,of course walipata wakiwa wajinga ju ozband anambia beshte 'ukiulizwa sema tuko na wewe kwa bar' hajui hio...