JazzMan
Elder Lister
They'll eat the rich.
The timeline of this Sri Lankan newspaper's Twitter account is testament to this saying. Politicians wamechomewa manyumba na mali, na wengine pia wamelazwa hospitalini baada ya kupokea kichapo cha mbwa msikitini. Hata now former PM amechomewa manyumba mpaka za ocha kwao
Weh, sijui kama pia sisi tutadefault kwa deni zilizochukuliwa kwa majina yetu na kuwekwa mifukoni mwa watu kadhaa.

Last edited: