Wadauz, nimewitness a few moments ago nikitoka hepi some guy who i think was being kidnapped.
Alikuwa amezungukwa na wanaume kadhaa and he was being bundled into a Toyota wish. Hao wanaume wako na trousers kama za polis but juu wamevaa jacket ya civilian....jamaa was resisting kuingizwa kwa hio gari.....