Matiang'i na kinjana yake..
View attachment 52227
Ngirici hakuwachwa nyuma, ndio huyu na musichana yake..
View attachment 52228
ongeza Ole Kaparo...
View attachment 52229
OCS watakuwa na shida kubwa sana! imagine unapanga mutoto ya Matiang'i night patrol anakushow haendi na anakuita meffi! ama mutoto ya Ngirici anaingia job akiwa mlevi juu ametoka bash after mama yake amekuwa gavana....
Aparently, kuna upwars of 200 rich/connected kids who were commissioned by konyagi yesterday.