UNYAKUO WA KANISA

john7

Lister
Una habari kuwa tunaishi katika nyakati ambazo siku yoyoye Kristo anarudi?..Je umejiwekaje tayari? Kumpokea..

Kulingana na utabiri ya kibiblia Israeli tayari imeshakuwa taifa huru..siku yoyote injili inarudi kwao, na huku tutakuwa hatuna neema tena.

 
Top