Ukweli usemwe. Huyu mzae amechapa

Ngima ya Mûhîa

Elder Lister
Mimi sielewangi why ppl waste time kuskiza bullshit ya hawa politicians? Its better kulala the whole day than wasting alot of energy listening to politicians.
Joblessness and idleness. MTU hana job na anataka tu atoke asipatwe na stress kwa nyumba. Pia kuna hope atachotewa Lamia moja ya lunch na politician.
 
Okiya

Elder Lister
Mimi sielewangi why ppl waste time kuskiza bullshit ya hawa politicians? Its better kulala the whole day than wasting alot of energy listening to politicians.
Its a culture that began with Moi. When Moi passed by your local na ukuwe hujaenda mkutano you were in hot soup. Chief alikuwa anauliza utaje watu watano waliongea kwa mkutano to test you attended the meeting.

Iko siku wakulima wa maziwa muranga walikataa kuenda mkutano ya Moi. Moi alisema lorry ya KCC ya kubeba maziwa isikuwe inaenda Muranga. They got broke
 
Tiger Bone

Moi was on another league. 1999 Moi day pale kiambu, tulikataa kuenda Madaraka gardens kwa mkutano ya DC . Moi alituma lorry za prisons thindigua jioni tukashikwa kwa locals. Kila mtu alitoka na 1500/
 
Last edited:
Top