Ujinga ya relatives

Chokora msafi

New Lister
I remember nkiwa pale high school nlikua nasomea day school. Nkaingia office nkapata dimore yaani Mode aka teacher hayuko. Mimi na ujanja yangu nkaiba kofia yake nkajua Leo akule ujinga yake na upara wake. Jioni nkaenda nkaacha home where we used to stay with my uncle.
Kesho yake nkaraukia chuo nkijiona shujaa. Kumbe my uncle alipatana na hiyo kofia morning akaivaa akija kulipa fee yangu. Kumbe ndio nlijua simba mkali lakini hutiwa mimba..
 
Therapist

Lister

Msee, acknowledge the source
 
Top