This is Guka - Jeeeeso! And I thought I Had Issues With the WhiteKAP Playbill....

Mongrel

Elder Lister
Unaenda kule chini kunywa chang'aa. Unalewa. Unableki unalala. Unakuwa mlo wa fisi.

Sometimes truth is stranger than fiction..............


Poleni to those who do not understand Cantonese..
huyo hajaona maneno,kuna Kijana kalikuwa banished na wazazi kakapelekwa huko juja farm ndani kabisa,kakalewa kakiwa huko kakalala kichakani kakaumwa matako na fisi,kakarudisha subcounty kuponyesha matako,after kupona kakaenda kwa pombe kakapata black out kakamuliwa
 
Top