Field Marshal
Elder Lister
Kabisa bro. Niko hapa Kamangu I don't even have food bana....................please, watu wakuwe na utu. Nimesurvive Majeneti, HIV ya 1990s, Moi, kupigwa na bibi na watoto, hata Covid, sasa mnataka nikufee njaa?@emali lipa fine bana guka anaumia
Tumeni kakitu mzee aendelee.............
Santeni sana..........