Tembea Kenya, Lake Oloiden(Hippo lake)

Pseudonyms

Elder Lister
Hehe, hii inaitwa ultimate survival, unanua fish hapo ikiwa alive,unachomewa then wanaserve design hiyo.

Nimekua huko mara kadhaa na mimi hujibebea roll mzima ya cling film. Unachomewa zinafungwa nayo mara mob kaa zile mummy za Egypt hadi hakuna mtu atajua umebeba samaki kwa gari.
 

emali

Elder Lister
If you think of hygiene while eating hautakula.But then inategemea place umelelewa.
eastlands... lakini baada ya many cases of indigestion and its consequences... niliamua usafi ni muhimu.. nikiingia hotelini nikute inzi zikipiga ziara kwa sahani humo sili
 
Top