Kasaman
Elder Lister
Wewe si ulikata skin ya kondoo ,ukaweka dani ya kaptula kwa makalioWhy did you have to remind me of ile vita nilionwa na Mr Gitau.
Alikua lesson yake ya double maths anaanza na mental sums za hii table. Kila mtu kwa class asimame ukipata correct answer uketi. Many a time nilijipata last man standing.