tafakari

third man

Lister
Tafakari ya babu na Swaleh Mdoe

"Nikiangalia kopo langu la mkono,
lasema ni saa moja na dakika takribani kumi na kenda."

Tafakari ya babu...
"Mtoto mmoja alianza kujipaka mate kichwani katika darasa la hesabu. Mwalimu akamuuliza, "kwa nini wewe mjinga unajipaka mate? "mtoto akamjibu,"jana usiku nilisikia
mama akiambia baba "kama haiingii paka mate hapo kichwani ujaribu tena" kisha mama akamuuliza, "imeingia?"baba akamjibu,"ndio.
Imeingia yote" nami nimejipaka mate kichwani ni jaribu tena nione kama hii hesabu itaingia yote!!the math teaching days were tou
 
Top