Siasa ni noma sana

Mishale

Elder Lister
watu kama hawa wakuomba politicians msaada ndio wanarudisha hii nchi nyuma.
tunafaa kua tunawauliza wanafanya nini kufanya maisha yetu ikue rahisi si kuwaomba msaada.

kesho atakua anajiongezea mshahara na badala tusimame kama wenye nchi tutete hadi wapunguze, tutateta tu kwa mdomo alafu kesho tutaomba msaada.

am sure sasa amesema hawezi mpaa kura na watapatia mwenye ata wanunulia kitu kura. wacha mchezo uchezwe hivyo hivyo. waku umia aumie wakuomoka aomoke
 
Mishale

Elder Lister
Karima ward is in Othaya if I remember correctly, sasa watu wa Highland kama Othaya wakiomba chakula after the good rains we had? Watu wa solio an ASAL area in Kieni east wataelekea wapi?
Nowadays people have no pride, Yaani kupiga bakuli kila Mahali.
kabsaa,
and its getting worse each day.
i have a feeling that by end of year, we shall start stealing from each other openly during the daytime like South Africa.

tough times ahead
 
Clemens

Elder Lister
kabsaa,
and its getting worse each day.
i have a feeling that by end of year, we shall start stealing from each other openly during the daytime like South Africa.

tough times ahead
Let's hope haitafika hapo but the begging around has to stop.
 
Ubongo

Elder Lister
kabsaa,
and its getting worse each day.
i have a feeling that by end of year, we shall start stealing from each other openly during the daytime like South Africa.

tough times ahead
What do you think is driving these mass killing like the one witnessed in Kiambu today in the morning
 
Mishale

Elder Lister
What do you think is driving these mass killing like the one witnessed in Kiambu today in the morning
its greed or the systems are failing such that one can kill and get away with it.
it could be revenge or just plain land grabbing.

videos from South Africa are worrying hope we don't get to that level.
 
Top