Shamas

Jug

Elder Lister
Wadau kuna jalopy imeleta umangaa, steering pump inaleak nimepitia hapo Shamas nikaambiwa iko lakini Ex-Japan. Nataka seal of approval nione ka nitasource iyo part hapo Shamas ka kuna Auto shop ingine that u can vouch for yenye wanauza genuine staff(kuna yenye nilichukua hpo Kirinyaga Rd lkn ilikuwa mbaya saidi) pia rusha kwa comment section. Matusi pia nisawa ka utakuwa na point ya maana hpo ndani. Shukran
 
X-TRAIL

Elder Lister
Hizo ex huwa bahati yako kunasiku nilirudisha steering rack mara mbili saa zingine unabahatika unaweka once inakubali just make sure iko na hio warranty hata Kama ni 1 week
 
  • Like
Reactions: Jug

Kasaman

Elder Lister
Wadau kuna jalopy imeleta umangaa, steering pump inaleak nimepitia hapo Shamas nikaambiwa iko lakini Ex-Japan. Nataka seal of approval nione ka nitasource iyo part hapo Shamas ka kuna Auto shop ingine that u can vouch for yenye wanauza genuine staff(kuna yenye nilichukua hpo Kirinyaga Rd lkn ilikuwa mbaya saidi) pia rusha kwa comment section. Matusi pia nisawa ka utakuwa na point ya maana hpo ndani. Shukran
Shamas anytime !
 
  • Like
Reactions: Jug

Pamba 1

Seneti hakuna matusi nguruba.
 
macho

Lister
Shamas wako Sawa,than others around there...exjapan is used kiasi,inspect the item carefully
 
  • Like
Reactions: Jug

Jug

Elder Lister
Shamas wako Sawa,than others around there...exjapan is used kiasi,inspect the item carefully
Shida kubwa ya kusource iyo part ni haiwess kuwa tested before mounting it kwa gari. Hapa nikupima ni macho na tayari iyo kupima na macho isha niangusha
 
You can have it fixed at a garage near shamas. Ikileta shida unawepelekea gari mara hiyo hiyo
 
Top