Jug
Elder Lister
Wadau kuna jalopy imeleta umangaa, steering pump inaleak nimepitia hapo Shamas nikaambiwa iko lakini Ex-Japan. Nataka seal of approval nione ka nitasource iyo part hapo Shamas ka kuna Auto shop ingine that u can vouch for yenye wanauza genuine staff(kuna yenye nilichukua hpo Kirinyaga Rd lkn ilikuwa mbaya saidi) pia rusha kwa comment section. Matusi pia nisawa ka utakuwa na point ya maana hpo ndani. Shukran