School fees

Okiya

Elder Lister
School fees ya watoto wenu imeongezwa na how much? Nimesoma fee structure sahii na naona imeongezwa na a cool 41%!! Wamesema reason ni inflation.

Hii mwaka economy tutaitana!
 
R_Silver

Lister
Wenye shule wameona wazazi wamelipia 4 terms, na zimependa sana hiyo revenue. Sasa kuwaambia wakate income kurudi 3terms hawataki..
Lakini kama increase ni 40%, sincerely sijui wazazi watawezaje. Either watu watahamisha watoto to public or shule zikubali kubaki na unpaid fees kibao.
 
Aviator

Na nikama all school owners have agreed.
Even schools we thought affordable are no longer within reach. JSS is becoming more expensive than a national secondary school.
 
zapp_brannigan

I am not a Futurama fan .
Bado nangoja yangu with baited breadth
I am in the same boat .Kwanza najua junior secondary uniform is different.Text book list shule haija tu inform bado , fees structure ita kuwa Moto ya kuotea mbali . This is what a nearby school had shared and this was late last year . I am sure the nearby private schools will use this to set their figures .
The below does not include uniform and meals @ 17500
Transport starts at around 10k for the zone nearest to the Lizzie Wanyoike .
Screenshot_20230109-205752.png
 
View attachment 82930
Wueh! Lizzie Wanyoike anawakamua
 
Top