Scammer recorded

It's Me Scumbag

Elder Lister
Mimi huwaambia yule wanayemtafuta yuko chumba kingine, wangoje kidogo ni muite, halafu naendelea kuchonga viazi.
So one called me ati ametuma pesa. Kamuuliza ati umetuma pesa halafu unanipigia...zile coomer imeoza niliitwa.

Or the one who sent a text ati nisitume pesa ya Salome kwa hiyo number. Kamuuliza natuma aje pesa kwa Salome na tuko na yeye. Niga actually called me kunitusi..

If they call or text,have fun at their expense.
 
Last edited:

Field Marshal

Elder Lister
This particular conman needs to change his hasso. Hiyo voice yake tunajua sisi wote... the last time he almost got me coz when his KPLC con failed and I asked him how Kamiti was alisema nimsamehe ni kuhasso to apate ya sabuni and food huko jela. So now he was appealing to me to send him something small on humanitarian grounds. Hapo karibu anipate, kumbe ni plan B. Nikajiuliza, akiweza kuconvince watu 20 wamtumie hizo pitypesa kidogo si con yake itakuwa imesuceed ki-new shape? @Meria
 
Top