SAKAJA BURE KABISA

sakaja anajifanya na kisungu mingi Kyle Senate lakini kwa ground hakuna kitu anasema, juzi tu watu wameanza kubomolewa manyumba hakuna kitu amesema , watu wanakufa njaa na bado anajificha alafu anarapp na vijana wake wanaishi langata hawajui shida Ni nini ati tustay at home kwani tutakula cushions
 
Top