Saidia niko mbaya saidi kapisaa.

BlackJew

Lister
Ad Mean,mbona umenidegrade?Yani kutoka Senior Lister hadi New Lister? Please tusichokozane mapema ivi?? Nirudishe Elder harakaaaaa....ama nitume apa DDos Attack...I swear I will. Nakupea 24 hrs.

Nway,nimehamia bez mpya na niko ground floor...alafu kuna izi miti zimepandwa apa nje zinaangusha matawi after evry 5 minutes. Sasa next door kuna a luhya family wanaishi mtu tatu,hubby who works usiku,bibi na siz ya bibi,then katoi ni bado ni kapyenga...so uyu siz ya bibi kuna vile ananimwagia mtama kila saa banaa....evry 10 minutes anakuja kufagia hizo matawi akipiga glances kwa mlango yangu na hajui namcheki...uyu dem anakaa singo matha ivi...anavaa vitu fupi fupi...lightskin kienyeji mazee...mimi juu nilikataa mambo ya wasichana last year naona hii ni temptation kubwa mbaya saidii....na sitaki kukosea Mungu I swear...alaf pia naogopa nikistrike convo apart from our daily hi's naogopa tutakua attached na nitatwanga vitu mimi akii ya nanii....I have lived a very good life of preventing myself from ferkin neibas...lakini apa naumia...ebu nipeeni advice of pros and cons of kularing neibas....hii kitu imeweza majamaa...
 
Top