Peterforex
New Lister
Safaricom siku izi wanakunywa bundles noma
Unaeka za mbao hadi hakuna free whatsappMbaya sana
Kwani ni maziwa ama busaa?Safaricom siku izi wanakunywa bundles noma
Safaricowako sawa joohSafaricom siku izi wanakunywa bundles noma
Wameharibu maneno.....siku hizi views WhatsApp zimepungua ju hakuna free wozzapSafaricom siku izi wanakunywa bundles noma
Unalipisha ama?.Yangu ni fast
Yeah obviously nothing is free hii KenyaUnalipisha ama?.
70 MBS zinaisha in 5 mins nomaSafaricom siku izi wanakunywa bundles noma
Yaani hapo juu, subsequent comments kama tano after op ni new listers...@meria you have a caseMjamaa mnawank na multi handling zenu