Road Rules

The.Black.Templar

Elder Lister
Staff member
Screenshot_20230906_161300_Facebook.jpg

Ukiona chatu akivuka barabara simama kwanza apite.

Hii haitambui uko na gari gani ama umebeba tonne ngapi. Kuna kandere mmoja tulifanya nayeye kwa kampuni na alikua na experience ya miaka mingi.

Alinishow kuna siku alikua na container ya 40 feet ya spare parts za gari. Sasa alipoona hii kamba kwa barabara akaamua apite juu yake ili pia atimize maandiko ya bible yanavyosema. Shida ni miguu za mbele zilipoikanyanga tu kitu ilifura kama baloon🎈 na ikarusha gari juu karibu mita kumi na Juu ya ile speed alikua amekuja nayo gari lilipoguza chini lilibingirika ila kwa bahati mzuri driver hakuumia. Mzee Kuangalia kama yule mnyama ameangamia akamkosa, Kutupa macho mbele kwa kichaka aliona kitu inalalisha nyasi khandi ikiwa speed ya 110Kmph. Baada ya kws kuitwa walipata mnyama mwenyewe bila ata scratch moja ama injury.
 
Tiiga Waana

Elder Lister
View attachment 88300

I do hope that you meant this as a joke or a fable and not a vivid or serious description or account of an incident that happened to you or anyone, living or dead for that matter.

Or better still that you copied it from some source but once again failed or ignored to acknowledge.

This is because this is impossible and can never happen.
It is an old wives’ tale and should be understood as such.
 
algorithm

Elder Lister
View attachment 88300

Ukiona chatu akivuka barabara simama kwanza apite.

Hii haitambui uko na gari gani ama umebeba tonne ngapi. Kuna kandere mmoja tulifanya nayeye kwa kampuni na alikua na experience ya miaka mingi.

Alinishow kuna siku alikua na container ya 40 feet ya spare parts za gari. Sasa alipoona hii kamba kwa barabara akaamua apite juu yake ili pia atimize maandiko ya bible yanavyosema. Shida ni miguu za mbele zilipoikanyanga tu kitu ilifura kama baloon🎈 na ikarusha gari juu karibu mita kumi na Juu ya ile speed alikua amekuja nayo gari lilipoguza chini lilibingirika ila kwa bahati mzuri driver hakuumia. Mzee Kuangalia kama yule mnyama ameangamia akamkosa, Kutupa macho mbele kwa kichaka aliona kitu inalalisha nyasi khandi ikiwa speed ya 110Kmph. Baada ya kws kuitwa walipata mnyama mwenyewe bila ata scratch moja ama injury.
1694038337249.png
 
Kasaman

One time I tried killing this animal using a Mercy Fergason tractor pale Nakuru, the creature never died

@QuadroK4000 note it's a reptile not an animal
 
Top