Kender9 Elder Lister Jul 30, 2021 #1 Daktari Ambikile Mwasapile, yure wa Loliondo femu ametuaga. Tuko katika hari ya majonzi hapa Dodoma. Twaitakia jamii ya babu yetu na daktari kubaf, upore musimu huu wa majonzi.
Daktari Ambikile Mwasapile, yure wa Loliondo femu ametuaga. Tuko katika hari ya majonzi hapa Dodoma. Twaitakia jamii ya babu yetu na daktari kubaf, upore musimu huu wa majonzi.
E emali Elder Lister Jul 30, 2021 #3 alale mahali pema peponi... kama ingalikuwa ni yule muuaji.. leo ni ngeagiza mutura ya hawa wanyama naskia wanaitwa Wagyu
alale mahali pema peponi... kama ingalikuwa ni yule muuaji.. leo ni ngeagiza mutura ya hawa wanyama naskia wanaitwa Wagyu
Kasaman Elder Lister Jul 30, 2021 #4 How many senetors visited Babu ? What a question ? Naongea kuhusu viashara ya kupeleka watu kunywa dawa , ilinoga kweli kweli zama zile
How many senetors visited Babu ? What a question ? Naongea kuhusu viashara ya kupeleka watu kunywa dawa , ilinoga kweli kweli zama zile