Ni maswali yapi kati ya haya ungependa kupata majibu yake?👇🏽👇🏽

john7

Lister
1️⃣ Nini kinatokea baada ya kifo?

2️⃣Unyakuo ni nini?

3️⃣Kuna mbingu ngapi?

4️⃣Kuna hukumu ngapi?

5️⃣Kuna aina ngapi za upendo?

6️⃣ Unyenyekevu ni nini?

7️⃣Kaini alitolea wapi mke?

8️⃣Chukizo la uharibifu ni nini?

9️⃣ Vita vya Harmagedoni ni vipi?

🔟 Vitasa saba ni nini?

*11* . Kuna aina ngapi za malaika

*12* . Yohana mbatizaji alibatizwa na nani.

*13* . Dhabihu ni nini?

*14* . Baragumu sana ni nini?

*15* . Utawala wa miaka 1000 ni nini?

*16* . Wanefili ni watu gani

*17* . Pakanga ni nini?

*18* . Tofauti kati ya Roho, nafsi na mwili ni ipi?

*19* . Yeshuruni ni nani?

*29* . Azazeli ni nani?

*30.* Kuvukiza uvumba ni nini?

*31* . Pentekoste ni nini?

*32* . Matowashi ni watu gani?

*33* . Mauti ya pili ipoje?

*34* . Urimu na thumimu ni nini?

*35* . Ubatizo sahihi ni upi?

*36* : Kibanzi na Boriti maana yake ni nini?

*37* : Abadoni ni nani?

*38* . Sifongo na siki ni nini?

*39* . Ikabodi ni nini?

*40* . Maran atha maana yake nini?

Kwa majibu
Text ~
+255693036618

Au

Tembelea👇🏽
https://wingulamashahidi.org
 
Top