Ndio mimi huyo hadi kiambu kwa wife namba 2

Wangu wa Makeri

New Lister
Ndio maana Africa tutaziidi kuwa nyuma. Instead of investing the extra you make for a better future umeikimbiza kwa bibi mwingine. Alafu ukizeeka bila unaanza kusumbua watoto wakusaidie and cycle continues.
 
Okiya

Elder Lister

Saudi Arabia, Dubai, Bahrain, Abu Dhabi, Kuwait wako na bibi wanne wanne na hawasumbuliwi. Africa tuko nyuma because of corruption and massive looting.

But your point on investment is noted. Bibi naweza pata wengi. Watoto ndio sitaki
 
Anglututu

Your point contradicts itself.
Having a second wife is building the country, kama uko na uwezo people should take up second wives.
To put my point in perspective.
You build two houses, you've created jobs.
You shop for two houses, you educate kids, you open a business for your wives, you buy two vehicles... Hope you get the point, everything comes in twos....
 
Anglututu

Elder Lister
Saudi Arabia, Dubai, Bahrain, Abu Dhabi, Kuwait wako na bibi wanne wanne na hawasumbuliwi. Africa tuko nyuma because of corruption and massive looting.

But your point on investment is noted. Bibi naweza pata wengi. Watoto ndio sitaki
Nishaona waarabu wana travel na the two wives wa naenda holidays abroad.
Very easy, hakuna drama.
People should embrace this lifestyle, those who can afford ofcourse.
 
Tiiga Waana

Elder Lister
Ndio maana Africa tutaziidi kuwa nyuma. Instead of investing the extra you make for a better future umeikimbiza kwa bibi mwingine. Alafu ukizeeka bila unaanza kusumbua watoto wakusaidie and cycle continues.
Absolutely.
Makes one wonder, don’t men realise that for every additional maku they acquire, an opportunity cost arises.

And not just in monetary terms only. Extra makus do not make you happier beyond a certain point the same way more and more salt does not make your food delicious.

And that is even before we talk of peace of mind assured when you are dealing with fewer people than more people.
 
Last edited:
Top