Mzito Sonkosteh

SPEECH ZA MIGUNA

New Lister
Maze friday natoka pale equity ya nyali and az i make my way down towards main road nacheki mzito sonkoste akitoka DTB (below Anuba, kwa wale washafika pwani )5 feet ahead . I thot aezi gotea hustler kama mimi but nilijionea za firauni , mzito alinicheki na akanigotea "niaje brathe" alafu mboyz akadig kwa mfuko akatoa maganji kibao akanijenga ashu roho safi , uyu mzito ni legit , anajua vile life iko kwa nground !
 
Top