Maumbwa nyinyi. Mlifikiria sitawapata. Msito ameingia SAA huu. Nionyeshwe pa kuosha mecho kwanza. Halafu @admin wacha upuss. I am no new villager. Mimi ni msito nipewe heshima yangu. Let's cheo faster faster. Halafu Luna ghasia niambiwe kama ziko huku:-
- Gashwin,
- Couch P,
- mzee mzima,
- M2random
- Na ghasia zingine zote