Moving out....

Liberty

Chief Lister
Kuna watu walianza na tustools. na wakasonga kimaisha
Mimi nilianza na one plastic chair, two small sufurias, one pan, mwiko, two plastic plates, two cups, kichungi, two spoons, small simple bed, mattress simple, ampex subwoofer and a laptop. Hakuna meza naketi chini I enjoy my dinner huku nawatch wrestling (from lappy)which I had earlier downloaded using muhindi's wifi
 
Meria

Chief Lister
Staff member

Padre kumbe wewe ni wa juzi hivi.
Hehe.
Hapo kwa ampex na lappy ndio pamekuuza.
Mimi nilianza na gunia kwa floor food ilikua ni kwa kianda kabla ni anunue ka stove ka dambi
 
Last edited:

Ubongo

Hehehehe nime note pia juu ya mpaka Wifi. Priest wetu ni wa juzi but anyway ata mtoto wa juzi ako na uzee wake
 
Mongrel

Chief Lister
Kuna watu walianza na tustools. na wakasonga kimaisha
Mimi nilianza na one plastic chair, two small sufurias, one pan, mwiko, two plastic plates, two cups, kichungi, two spoons, small simple bed, mattress simple, ampex subwoofer and a laptop. Hakuna meza naketi chini I enjoy my dinner huku nawatch wrestling (from lappy)which I had earlier downloaded using muhindi's wifi
nyinyi Kama wanaume we don't care hata mlale kwa mitaro,hii advice pelekeeni akina mzee mjinga,mrembo tutamusort liwe li
Saa tatu usiku mtaa mpya? Hata panga utatoร  wapi?
Panga unanunua kwa hardware
 
Top