Maziwa ya Muziki

Mishale

Chief Lister
Muziki unaenziwa na wengi na mara nyingi utawapata watu wakijipumbaza na kujiburudhisha na miziki mbalimbali. Lakini mkulima mmoja mtaa wa Kimumu mjini Eldoret amekuwa akitumia muziki huu kuwachezea ng'ombe wake kama njia ya kuwatuliza na kuwafanya watoe maziwa kwa wingi. John Wanyama anatuarifu kutoka kaunti ya Uasin Gishu


the farmer used to get 140ltrs a day from the cows. after introduction of music, the yield grew from 140ltrs to160 ltrs.
the music makes the cows feel relaxed hence the increase in milk production.


 
Top