Hiyo ya kuflood downtown ni ukweli mat ni shida. Actually basi za githu ni ka hazinanga ata stage. But when it comes to the traffic kuingia na kutoka, shida ni izo privates.Although I agree there are way more private vehicles than matatus in the city, down town streets matatus ndio shida, kutoka kencom na ambassadeur, ni jam ya matatu tupu na matatu blocking roads. Kwanza intersection kama koja roundabout, matatu shida tupu. Ongeza price ya private vehicles coming to town and on street parking, then nyorosha matatu such that hakuna kuingia town kungoja watu. Pita moi avenue na tom mboya uone hundreds of matatu just waiting on the streets, wafikiwe wabebe. Hizo buildings zote za down town zile hazina tenants shida ni moja ,matatus blocking the streets
I am waiting to see how for example someone from thika rd wants to commute to shags, probably nakuru na anahitaji nuclear services.