Umenikumbusha siku moja on a sunday, nimeingia butcher ya place inaitwa Drive In, Nakuru, penye Platinum 7D is, tukiwa wasee watatu na uchumi ilikua chini tukapimisha matush half na nyama ya 200/-, na firifiri kama mboga(it discourages ombaomba kama... ). Hio mix ikipigwa poa hua spot on. Ubaya nugu ingine ikasahau kuosha matumbo, ikakuja na mchanga. Tukang'ang'ana cos tulikua under Gibleys but tukashindwa. Tukasema tuiweka kwa gari(glove compartment), then we will revisit later.
As you know, mlevi ama memory kama ya warthog, tukaisahau, acha ikae hapo Sunday night, monday mchana n night, uvundo nilianza kuskia tuesday, thought ni panya imekufia kwa gari. Nilikuja kujulia kwa carwash on Wednesday after I couldn't take it anymore.