MANCITY WAKIPEWA WATEWEZANA???

Raffton

New Lister
Screenshot_20200617-020633.png

Baada ya Ligi Mbalimbali kutatiza shughuli Mbalimbali za mipira. Hatimaye Ligi iliyosubiriwa na Mashabiki Wote kote Ulimwenguni , Sasa imerejea kwa kishindo. Lakini Swali lazidi kusalia , Je city itaonyesha mwanzo mzuri wa kuendelea na Epl kwa mechi zilizo salia na Haswa baada ya wachezaji waliokuwa na Majeraha KUREJEA????
LEO : 22.30 PM
MAN CITY VS ARSENAL
JE , UBASHIRI WAKO NI UPI?????
 
Top