Ngimanene na Muchere
Elder Lister
Promoting hustlas to be dynasties. Hii kitu kule kwa maotel za madynasty na kule wanaendanga kula ni Kshs 1000, lakini kwa hii base slice ni 50 bob na huyu hustla will soon be a dynasty. Anyway, hii jua inawaka sana wacha nimumunye hii