Majina ya ajab ya mitaa Mombasani.

Meria

Elder Lister
Staff member
@QuadroK4000 amenikumbusha hii
  1. Dunga Unuse was originally called "Dunga nusu", a term given by walevi from the chang'aa dens as they demanded to be given kanusu of cham. So mlevi kama @Cortedivoire ataambia mama pima @Deep Sea "dunga nusu"
  2. Dongo Kundu on the other hand in full is "Udongo Mwekundu"... but trust the coasterians to shorten names in interesting ways.
  3. Mkanyageni ni la mtaa mmoja eneo la Old Town mjini Mombasa na kwa ufahamu wako pengine utafikiria linamaanisha kukanyaga mtu. jina hili linamaanisha - mtu anayekanya wageni au kitu kigeni, ndio huuitwa mkanya geni
  4. Toa Tugawe, watakwambia ni mtaa ambao ulikua na wezi wengi kwa hivyo ukitoka safari zako na ukutane nao , baso watakwambia utoe ulicho nacho ili mgawanye.
  5. Mtongwe ni kivuko kila mmoja anakifahamu sana. hili sio jina moja bali mawili, Mto-Ngwe. Huu ulikua mto mdogo sana [mto] ambao kipimo chake kilikua kikipimika [ngwe].
  6. Kisauni - majina mawili pia, Visa na uhuni ikakua Kisauni, yaani huu mta umekua na uhuni tangu jadi.
  7. Siwatu
  8. Magodoroni
  9. Kaa chonjo
  10. Kadzandani
  11. Mlaleo
  12. Mafisini
  13. Sindiriya
  14. Guraya
  15. Shika adabu
  16. Mwembe kuku
  17. Mwembelegeza
  18. Mbirikani
  19. Mnazi mkavu
  20. Ndenyenye
  21. Jamvi la wageni
  22. mtomondoni
  23. Ziwa La Ng'ombe
  24. Jaribuni
  25. Ng'ombeni
  26. pungu kiziwi
ongezeni hizo zingine.
 
kingolonde

msufi mkavu
 
sindiria ni wapi sasa?? SIDIRIA , Ndenyenye - Denyenye ,Mbirikani - Birikani - -----ulimi mzito ama ni chida ya matamuchi??

Majina mengine ya kuchekesha ndani ya 001

Steji ya paka
uwanja wa mbuzi
Mlaleo
katisha
kazandani
magongo
magogoni
kishada
 
Top