Iyo ni salamander(J260)Hii ndio ile inatangwa nyoka ama ni gani?
I bet the poster aliona hiyo phrase kwa advert ya Subaru akafikiria ni kitu expensive..Ati natural aspirated petrol engine? Kwani hii yangu ya Platz ni gani?
Kwa hivyo tuseme magari Kenya instead of depreciating in price the opposite happens. When that car was imported the price was slightly above 1.1M ametumia gari for 4+ years and disposing it at roughly the same price. Ii nikuuza gari na umaskini yake yote.Lakini si for half that age is going for 2M plus so this is expected!
Hapa sasa.Kwa hivyo tuseme magari Kenya instead of depreciating in price the opposite happens. When that car was imported the price was slightly above 1.1M ametumia gari for 4+ years and disposing it at roughly the same price. Ii nikuuza gari na umaskini yake yote.
But I see the prices of 1800cc going downward are exaggerated in the Locally Used Segment ruka 2000ccc specifically 2500cc and above and the prices are reasonable take for example the Mark X mtu anachukua gari na 1.6M akidispose one year later hata 1M akipata ni bahati