LiverFool vs Chelshit

JazzMan

Elder Lister
Weh, Chelsea walikuja kama wamenoa visu.

ION, VAR inafaa kuwacha tight offside calls zikuwe valid. Timo Werner ameingia gym na akafunga bao ya maana sana.
 
Top