Hii story imeguza kasarani kisirani !
very sad, imagine the pain the kid underwent .Mimi naskia machungu sana tena sana. That kid is going to go through life, miaka kama 80, with a severe disability because of upuzi na unyama wa mtu. Siyo accident ama ugonjwa, unyama.
Wanipatie huyo jamaa akiwa ako chained nikae nae kwa room wiki moja nikiwa na power tools....