Kutoka kwa Truckers

upepo

Elder Lister
Alafu sijui madereva nao taranta ya upishi iliwatoka wapi. By the way ukiwa mahali kwa parking unaskiaga harufu nzuri ya chakula unadhani harufu yenyewe inatoka kwa restaurant na kumbe ni dereva mwenzako hapo kando anapika. Kuna enzi nliishi na Senior Counsel Vik Nashville kwa truck yake bana msee alikuwa anapika chakula harufu inavutia watu kijiji nzima. Kuna nyama alikaanga siku ingine tukiwa masalani harufu ikavutia fisi na chui. Lakini hakukosi madereva wawili watatu wenye hawajui kupika. Msee kama Bwana Too ukikagua cabin yake huwa amejaza dozens za soda. Akihisi njaa mahali popote anaekaga gari kando anakoroga ugali. Ikiiva ndio anaendelea na safari anaenda akiikula na soda. Msee utamuona na tumbo kubwa udhani ni utambi na kumbe ni gas imefanya afure.
1681967092498.png


Why some truckers never dream of leaving the job.

1681967256360.png
 
Top