Kush Yule Mnono while hustling kwa Abdul

Piano

Lister
This is scripted shit to seek popularity. Out of curiosity nimeenda kwa FB page ya huyo jamaa kumbe ni mtu wa masocial media. Hakuna vile mwanaume ako na makende mbili anaeza kua patient hivo. Ati ukitaka kupigia bibi yako Kwanza unaset camera kurecord? Huyu ni actor anasaka ile 100m bin ngayna alipeana
 
Kimakia

Lister
Ameuliza swali genuine,Make up ni ya nini na tuko lockdown.

Woiii pole kwa huyo jamaa,hapo sioni future,mtu hawezi niongelesha hivyo na tukae pamoja
 
Kimakia

Lister
Maintaining a family isn't easy. Seems like a case of people who weren't well off and as things got better, the girl now becomes mjuaji forgetting where they came from.
But again 10k per month with kids, is a bit tricky.
Ocha 10k ni mob bwana.Lakini wangeongea aongezwe kama 5k
 
Anglututu

Elder Lister
Some of this niggas earn 50k a month alafu unakuta saitan kama hii inadai 10k every wk..... Me thinks this nigga recorded this video ndio akingia karura nobody will blame him. Well done biatch you is now single mother.
Actually that's the average salary for majority of the Kenyans in the gulf.
Free housing and transport, makes it worth considering.
 
kijanamrefu

Elder Lister
This is scripted shit to seek popularity. Out of curiosity nimeenda kwa FB page ya huyo jamaa kumbe ni mtu wa masocial media. Hakuna vile mwanaume ako na makende mbili anaeza kua patient hivo. Ati ukitaka kupigia bibi yako Kwanza unaset camera kurecord? Huyu ni actor anasaka ile 100m bin ngayna alipeana
Naskia ni @Ice_Cube mwenyewe.
 
Top