Kuna watu mbili hawawezi patana Kenya hii

Da Vinci

Elder Lister
Let the people wallow in the euphoria of the moment. Let them live in utter denial. Wacha jamaa wajisahau.

Ukweli ni kua, kuna kabila mbili hapa Kenya kamwe haziwezi kutawala serikali moja kwa ushirikiano kwa wakati huu. Labda after 30 years. But for now, serikali ya jaluo na kikuyu ni uongo mtupu. We never succeeded twice in the past, what do you think is special this time?
 

Da Vinci

Elder Lister
Mtoto ya mbwa amesema anataka kuacha wakikuyu wakiwa na umoja. This is, said plainly by me, a huge fallacy. Truth is there never was a time the Kikuyu nation was more devided than we are poised to be by the time we call it a day. Hata the divisions za wakati wa Kibaki na Matiba will pale in comparison. There is even a huge and dangerous possibility that from now on we will never be counted on the same list with hawa kaka zetu, Wameru na Waembu!
 

Da Vinci

Elder Lister
Hapa Mt Kenya we are voting for Baba. Muwache kubwekabweka. Turathura muru wa jaramogi mwende kana mutikende. Muthie mwiikie thagana tondu niwe turacagura.
Mûgakora muumbîkîirûo kîihû tondû mwî maitho na mûtionaga na matû manyu me nginini! Wanaruona eerirûo anarůmenya. Na mwanyita rûgendo rûu rwanyu mûmenyage atî gûtirî wîriraga agîthiî ta agîcoka.
 

mkurugenzi

Elder Lister
Hii si kikuyu ya mkikuyu.
Mwende kana murege. Had translated from msipende. Language is dynamic.

Ati urenda kuga ndiri mundu wa nyumba? Na ndii mumbui wa mbari ya magana? Wee niudu unyitaga mbaru duriri iyo ya sukoi nikuga we wi munandi?
 
Last edited:
Top