kitui has decided

Amadeus

Lister
Nakwambia hii watu ya kitendawili Wachana nao, my Friend!
Watu watashangaa, watu wengi wanafeel uchumi ni mbaya, especially watu wa chini, kila kitu imepanda bei. Halafu unaskia watu wanasema matatus Should not enter cbd from 1st of April na hakuna alternatives. Ushukie uhuru park, then uchape kaguu hadi ngara kama unaenda thika rd. Ukitoka shags unawekwa park rd, uchape kaguu hadi uhuru park kama unaenda gong or rongai.
Hii gava ni ya masonko peke, raia wakawaida wanafinywa zaidi bila huruma, bila lube.
 
Okiya

Elder Lister

Uhuru amefanya hata huku bei ya gas ipandishwe from 1 April. Me nitavote Ruto juu najua akiingia tu hivi, dollar itashuka na pia mafuta itashuka bei.

IMG_20220330_192628.jpg
 
Da Vinci

Elder Lister
Uhuru amefanya hata huku bei ya gas ipandishwe from 1 April. Me nitavote Ruto juu najua akiingia tu hivi, dollar itashuka na pia mafuta itashuka bei
Unajua Bei za Kenya they never recoil back to their original position. Once zikipanda they they remain there. Or, if anything, zinapanda tena hata zaidi. Kazi ya yeyote atakayeunda serikali, whether Ruto or Raila, ni kufanya wakenya wawe na pesa mifukoni za kuwawezesha kuafford gharama ya maisha. Employment na better business environment. Na kwa hilo, we will have to give whoever wins the goodwill and our patriotism ili aweze kutoboa. Haitakua kazi rahisi na wala haitakua chapchap!
 
Top