Kalwenge

Ubongo

Elder Lister
Nilinunua kadogy na paka. Shida ya panya, nyoka, bats na other nuisance kando kwa Sasa.
One dog isn't effective....nunua ndume na kike..... scout from homes that have lethal hounds. You may buy a docile dog that won't be of much help.....inalala tu.
Paka mbili pia ziko sawa.
Mbata msinga....pia huwa sawa sana
 
Top